📖
Dokezo la Mwongozo : Vipengele Muhimu Vya Ubora Katika Mazingira ya Malezi ya Watoto Wadogo
Kelly, Melissa Diane, Beaton-Day, Frances

Dokezo la Mwongozo : Vipengele Muhimu Vya Ubora Katika Mazingira ya Malezi ya Watoto Wadogo

Economics & Development Published 2025 Verification Pending

Overview & Synopsis

Dokezo hili linatoa mwongozo wa namna ya kuhakiki ubora wa huduma za watoto zinazotolewa katika mazingira tofauti - ikiwa ni pamoja na vituo vya kulelea watoto wadogo mchana, chekechea, vituo vya kulelea watoto vya nyumbani, vituo vya kulea watoto wachanga na shule za awali1. Linaangazia vipengele vya msingi vya ubora vinavyohitajika katika programu zote, likizingatia kanuni muhimu zinazoweza kutekelezwa kwa urahisi katika mazingira tofauti na kwa viwango tofauti vya rasilimali (kinyume na viwango zuizi, ambavyo huenda visiwezekane katika mazingira yote). Maswali yafuatayo yameibuliwa: (i) kwa nini malezi bora ni muhimu? (ii) ni vipengele gani muhimu zaidi vya ubora katika mazingira ya malezi ya watoto ili kuhakikisha kwamba watoto wapo katika mazingira salama na changamshi ya kujifunza? (iii) Unapaswa kuangalia nini unapotembelea mahali wanapolelewa watoto? (iv) ni vipengele gani muhimu vya kimfumo vinavyohitajika ili kuhakikisha kuongezeka kwa ubora? na (iv) nini kinapaswa kupewa kipaumbele katika kipindi cha muda mfupi ili kuongeza ubora? Ujumbe huu umeandaliwa kwa lengo mahususi la kutoa muongozo kwa timu za Benki ya Dunia na Shirika la kuhudumia Watoto duniani (UNICEF), serikali na wadau wengine muhimu.

Indexed from repository: World Bank Documents & Reports (documents.worldbank.org)
Loading document from verified source...
Keyboard Shortcuts: ← / → for pages • + / - for zoom • 0 to fit width Powered by Mozilla PDF.js v3.11

Document Information

Document Title Dokezo la Mwongozo : Vipengele Muhimu Vya Ubora Katika Mazingira ya Malezi ya Watoto Wadogo
Author / Organization Kelly, Melissa Diane, Beaton-Day, Frances
Subject & Discipline FY17 - Early Childhood Education
Categories Economics & Development
Publication Year 2025
License / Rights Creative Commons Attribution 4.0 (CC BY 4.0)
Resource Verification Listed PDF (Verification Pending)
Original Host Website World Bank Documents & Reports (documents.worldbank.org)
File Format application/pdf (Portable Document Format)
Language EN
Catalog ID DOC-227950
Original Source Link Visit Source Page on documents.worldbank.org »